Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt. Akinwumi Adesina yaliyofanyika Makao Makuu ya AfDB Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.

Makamu wa Rais, Dkt.Philip Mpango katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB, Dkt. Akinwumi Adesina Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.

Mazungumzo hayo yamefanyika chini ya Makamu wa Rais, Dkt. Mpango na Rais huyo wa AfDB, Dkt. Adesina, wajumbe wake na wawakilishi wa Tanzania katika Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika la mwaka 2022, yaliofanyika katika katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki hiyo Jijini Abidjan.

Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa AfDB, Dkt. Akinwumi Adesina, ujumbe na wawakilishi wa Tanzania katika Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika 2022 Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.

Waraabu wa Tunisia wamuibua Hassan Bumbuli
Rais samia azungumza na Waziri Mkuu wa China