Mashirika ya kimataifa pamoja na wataalamu wa sekta mbalimbali kutoka nchi zaidi ya 190 ikiwemo Tanzania wanatarajia kushiriki jukwaa la 8 la wakuu wa Nchi na Serikali Duniani litakalofanyika tarehe 29 na 30 Machi 2022.

Aidha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip isdory Mpango leo Machi 27, 2022 ameondoka nchini kuelekea Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabi kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika jukwaa la 8 la wakuu wa Nchi na Serikali Duniani.

Jukwaa hilo Lina lengo la kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kubafilishana mbinu za kuimarisha utendaji wa serikali.

TET yasisistiza umakini mapitio ya vitabu
Ukraine yaomba silaha za NATO kuikabili Urusi