Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki Manfredo Fanti.

Mazungumzo yameofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam hii leo tarehe Februari 22, 2023 ambapo kesho
Februari 23, 2023 huku Dk. Mpango akitarajia kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya, litakalofanyika uukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akifanya Mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini
Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki Manfredo Fanti.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya Afrika Mashariki Manfredo Fanti mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.

Young Africans kuifuata Real Bamako alfajiri
Vita na Ukraine: Putin azionya nchi za Magharibi