Alikua akiitwa Sofia Hassan Askari ambaye alikua ni mama mzazi wa kijana Hamza alieshambulia askari maeneo ya Ubalozi wa Ufaransa na baadae kuuwawa kwa Risasi.

Sofia amefariki Leo Novemba 7, 2021 na anatarajia kuzikwa kesho saa 7 mchana kwa mujibu wa taarifa za kifamilia.

Jina la Askari ni la utani ambalo alipewa kutokana na mume wake kuwa Askari aliekua akiishi maeneo ya Upanga jijini Dar es Salaam.

Young Africans wana jambo lao msimu huu
Uvamizi wa hifadhi watishia utalii