Achana na Odds kubwa, machaguo mengi na promosheni za kila siku kuna hili kubwa ambalo halijawahi kufanya na yeyote hapa Tanzania tofauti na Meridianbet. Unaambiwajee ukichana tiketi yako kwa timu moja tu huo mkeka haujafa bado unapumua, na wewe ni mshindi kwa sababu Meridianbet wakali wa odds kubwa wanakurudhishia mpaka x100 ya dau lako uliloweka kubashiri.

Habari njema zikufikie popote ulipo mdau wa kubashiri na Meridianbet kwakuwa unapata odds kubwa, machaguo Zaidi ya 1000+ na Ofa za kumwanga, kuna hii nyingine ya kijanja Zaidi unaambiwaje usijali endapo mkeka wako utachanika kwa timu moja, kwao Meridianbet mkeka bado umeshinda kwa sababu wanakurudishia mara 100 ya dau lako uliloweka.

Kitu unachopaswa kufanya ni kuhakikisha umebashiri tiketi yenye odds kubwa kuanzia 25+ hadi 950+ utarejeshewa mara 100 ya dau lako endapo ikatokea timu moja imechana mkeka wako.

Mchanganuo Uko hivi!

Zingatia:

  • Tiketi haitakiwi kuwa na bashiri ya mechi moja tu
  • Unatakiwa uwe na angalau bashiri moja kutoka bashiri za kabla ya mechi.
  • Haitakiwa kuweka machaguo mengi (Mult-bet) kutoka mechi moja
  • Hii ni maalumu kwa tiketi zilizopoteza mechi moja na dau la bonasi halihusiki kwenye promosheni hii.
  • Kupata jumla ya ushindi zidisha jumla ya odds zilizoshinda pekee (Odds za bonasi hazihesabiwi) kisha zidisha kwa namba zilizoainishwa kwenye jedwali hapo kulingana na idadi ya mechi kwenye tiketi yako.
  • Hesabu za Odds kubwa zilizoshinda hazihusishi ongezeko la odds za bonasi.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Machi 30, 2023
Elimu uhifadhi Ruaha, Mwanakijiji asalimisha Silaha