Meridianbet wameamua kurudisha kwa jamii yake kwa mara nyingine tena mapema leo walifika mitaa ya Mbagala na kugawa Reflectors kwa Bodaboda wanaopatikana eneo hilo ili kuhakikisha zinawasaidia katika shughuli zao za kila siku za usafiri.

Kurudisha kwa jamii imekua kama utamaduni kwa kampuni ya Meridianbet kwani hii inakua sio mara ya kwanza kurudisha kwa jamii yenye uhitaji na vilevile haitakua mara ya mwisho, Hivo hii inatafsiri kua kampuni hiyo itaendelea kurudisha kwa jamii inayoizunguka  kama ambavyo wamefanya leo.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali wateja wao ambao wanajua asilimia kubwa hutumia kampuni hii kufanya ubashiri kwani ndiyo kampuni ambayo inakupa kile ambacho unakitaka kama kaulimbiu yao isemavyo Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

 Bwana Matina Nkurlu aliwaahidi Bodaboda wanaopatikana katika mitaa ya Mbagala kua atarejea tena kugawa Reflectors eneo hilo kwani imeonekana vifaa hivo havikutosheleza kwa siku ya leo na ahadi za Meridianbet hua zinatekelezeka.

Endelea kutumia Meridianbet kubashiri mechi kali wikendi hii kama vile EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA na zingine nyingi ambazo zinatarajiwa kupigwa leo hii lakini pia, usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Avaitor, Sloti, Poker, Roulette na mingine ambayo itakuwa rahisi kwako kupiga mkwanja.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Baada ya kupokea reflector hizo bodaboda wa eneo hilo waliishukuru Meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea vifaa hivyo kwani vitawasaidia wakiwa katika safari zao za kila siku na wamewapongeza kwa kutambua umuhimu wao kwenye jamii.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Agizo la Waziri Mkuu: Hakuna vifo, mifugo iliyouawa
Mwinyi Zahera: Mapambano yanaendelea, sijakata tamaa