Afya Habari Matukio Mpango afungua Maabara ya Afya ya Jamii Siha 3 years ago Jengo la Maabara ya Afya ya Jamii Ngazi ya 3 ya Hospitali ya Kibong’oto iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro. Serikali kufikisha huduma za jamii kwa wakati Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Afya na Mkoa wa Kilimanjaro katika gari maalumu ambalo ni maabara ya magonjwa ambukizi lililopo katika Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro. Afya bora kipaumbele cha Serikali: Simbachawene Makamu wa Rais, Dtk. Philip Mpango akizindua mnara maalum katika Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto wakati wa kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali ya Kibong’oto iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akifungua Maabara ya Afya ya Jamii Ngazi ya 3 ya Hospitali ya Kibong’oto iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro leo tarehe 16 Julai 2022. Kulia ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dtk. Philip Mpango akipanda mti katika Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto wakati alipofika kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro. TEF yaunda timu mchakato sheria ya Habari Serikali kufikisha huduma za jamii kwa wakati