Jengo la Maabara ya Afya ya Jamii Ngazi ya 3 ya Hospitali ya Kibong’oto iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na  viongozi mbalimbali wa Afya na Mkoa wa Kilimanjaro katika gari maalumu ambalo ni maabara ya magonjwa ambukizi lililopo katika  Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.
Makamu wa Rais, Dtk. Philip Mpango akizindua mnara maalum katika  Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto wakati wa kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali ya Kibong’oto iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akifungua Maabara ya Afya ya Jamii Ngazi ya 3 ya Hospitali ya Kibong’oto iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro leo tarehe  16 Julai 2022. Kulia ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dtk. Philip Mpango akipanda mti katika Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto wakati alipofika kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro.



TEF yaunda timu mchakato sheria ya Habari
Serikali kufikisha huduma za jamii kwa wakati