Kufuatia agizo la Rais John Pombe Magufuli vijana Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, wameshaanza rasmi kutimiza agizo la kujenga ukuta wa kuzunguka Vitalu kuanzia A hadi D vyenye madini ya Tanzanite katika eneo la Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara lengo likiwa kudhibiti uchimbaji na biashara ya madini.

Jeshi Hilo tayari limeingia mzigoni rasmi kuanza kazi na kutimiza agizo la Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

3

3

2

Agizo hilo lilitolewa kwenye sherehe ya ufunguzi wa barabara ya Kia – Mererani iliyofanyika katika eneo la Mererani.

 

 

Picha: JWTZ waanza rasmi ujenzi wa ukuta kudhibiti madini ya Tanzanite
Neymar hamtaki kabisa Cavani, aomba PSG imuuze