Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepiga kura ya kuchagua Wajumbe katika ngazi ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwenye Mkutano wa 10 wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma hii leo Desemba 7, 2022.

Mkutano huo wa siku mbili umekwenda sambamba na ajenda ya Kupokea na kutathimini utekelezaji wa ilani ya mwaka 2020-2025, Kupokea taarifa na kuangalia kazi za chama na jumuiya zake na Uchaguzi wa Viongozi wa kitaifa watakaoongoza Chama kwa kipindi Cha mwaka 2022-2027.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Decemba 8, 2022
Utapeli: Polisi yatahadharisha umma