Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali leo tarehe 2 Desemba, 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali leo tarehe 2 Desemba, 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya mara baada ya kumjulia hali nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam leo tarehe 2 Desemba, 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali leo tarehe 2 Desemba, 2021.

Balozi Mulamula: Kikao cha FOCAC Dakar kimekuwa cha mafanikio
Miaka miwili jela kwa kumbaka mwanafunzi