Shirikisho la Soka nchini Tanzania ‘TFF’ limeingia makubaliano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu ‘UNFPA’ kwa ajili ya kushiriki kwenye kampeni mbalimbali za kijamii.

Taasisi hizo mbili zimeingia makubaliano hayo leo Jumatano (Novemba 16) jijini Dar es Salaam.

CAF yaahirisha upangaji makundi Afrika
Opah achomoza kikosi bora Afrika