Tazama hapa picha za matukio ya uzinduzi wa safari za ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Makao Makuu ya Nchi, Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua safari hizo leo Januari 16, 2017 na zitafanyika mara mbili kwa wiki, siku ya Ijumaa na Jumatatu.

Amesema safari hizo zitawezesha wafanyabiashara na wananchi wengine kutoka Dodoma na kwenda katika maeneo mengine kwa urahisi.

2 1 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 3

Pep Guardiola Akiri Maji Kumfika Shingoni
Majaliwa azindua safari za ATCL Dar/Dodoma, atoa wito