Wafuasi wa NRM na watu wengine wenye mapenzi mema walikusanyika lango la Ikulu la Nakasero lililopo jijini Kampala, kuwasilisha ujumbe wao wa ‘kumtakia uponyaji wa haraka’ Rais Yoweri Museveni.

Museveni amejitenga baada ya kukutwa na virusi vya Uviko-19, na nafasi hiyo imetolewa kwenye lango la Ikulu kwa ajili ya wananchi kuwasilisha ujumbe wao kwa Rais, na zifuatazo ni baadhi ya Picha zikionesha matukio tofauti wakati wa zoezi hilo.

Beki la CHAN kutua Azam Complex Chamazi
CCM kuendeleza utekelezaji sera ya Afya, elimu bure