Hadi sasa tayari katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es salaam watu wamefurika ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda atataja majina mengine ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya. Tayari zoezi hilo limefunguliwa rasmi ambapo yupo Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, Pamoja na viongozi mballi mbali wa Serikali, wakuu wa wilaya zote za Dar es salaam, Wajumbe wa amani wa mkoa, Viongozi wa dini, Wakuu wa Idara na Sekretarieti ya Mkoa, Makatibu wakuu wa wilaya, Maafisa Tarafa, Wenyeviti wa Mitaa dar es salaam, Vijana kutoka Soba House Kigamboni, Waandishi wa habari pamoja na wananchi wengine

Young Africans Kurejea Kesho
Claudio Ranieri atishia kufanya mabadiliko baada ya vipigo