Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amemteua Ngusa Dismams Samike kuwa Mnikulu Ofisi ya Rais, Ikulu (Comptroller State House – CSH).

Taarifa hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi, John Kijazi ambapo amesema kuwa kabla ya uteuzi huo uliofanyika leo Desemba 13, 2016, Ngusa Samike  alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Wambura, Mwesigwa Watinga Mahakamani
Gambo: Rais hajazuia kufanya mikutano hotelini