Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC).

Mkutano huo, umefanyika katika Jengo la Usalama na Amani la Julius Nyerere lililopo katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia hii leo Februari 17, 2023.

Uturuki kuondoa mabaki ya majengo eneo la tetemeko
Ukuzaji sekta ya Kilimo: Dkt. Mpango ateta na mwekezaji