Rais Samia Suluhu Hassan amewatakia watanzania wote Heri na Fanaka katika Kusherehekea sikukuu ya Noeli na kuelekea mwaka mpya wa 2022.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter Rais Samia amewasihi wananchi kusherehea kwa amani na kiasi.

Pia amewataka kuendelea kuwa wamoja kwa mwaka 2022 na kufanya kazi kwa juhudi ili kuoiga hatua mbele za maendeleo.

Taarifa ya Rais Samia kwa wananchi wote.

Wasafiri wa nje ya nchi wapewa masharti mapya
Serikali yapokea dozi 376,320 za Moderna