Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Julai 1, 2021 amepokea taarifa ya ripoti ya ukaguzi wa fedha zilizotoka kati ya Januari na Machi 2021, katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT). 

Rais Samia alitoa agizo hilo Machi 28, 2021 wakati akipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Hii ndiyo siri ya ziara kwa Viongozi
Fedha za tozo ya miamala ya simu hazitatumika kulipa mishahara -Dkt. Nchemba