Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Leo tarehe 12 Novemba 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu Hassan.
Kikao kikiendelea.

Tanzania kinara mwongozo Biashara hewa ya ukaa
Kesi ya Rushwa: Walinzi wa Rais watupwa jela