Klabu ya Simba inatarajia kumtambulisha mchezaji wa kwanza waliomsajili katika kipindi hiki cha usajili wa Dirisha Dogo.

Simba SC imekua kimya tangu kufunguliwa kwa Dirisha Dogo Desemba 16-2021 huku klabu nyingine za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza zikianza usajili na kutangaza hadharani.

Simba SC imethibitisha kumtangaza mchezaji huyo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Ujumbe ulioandikwa kwenye kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za klabu hiyo unasomeka: Baada ya kumsubiri kwa muda hatimaye kijana wetu ???????.

Leo saa 4:00 asubuhi kupitia Simba App #NguvuMoja

Nkane kumuondoa Kaseke Young Africans
Mmoja kuondoka Young Africans kwa mkopo