Asilimia 60 ya majeruhi wa ajali hasa wa ajali zinazohusiana na Pikipiki maarufu kama Bodaboda wanaumia sehemu za ubongo.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Prof. Abel Makubi ambaye ameongeza kuwa kwa wastani kwenye idara ya magonjwa ya dharura, napokea wagonjwa 15 hadi 20.

Amesema, “Wagonjwa hao ni wale wanatokana na dharura mbalimbali na asilimia 60 zinatokana na ajali na wengi ni bodaboda. Tatizo ni kubwa wengi wanakuwa wameumia mifupa na ubongo.”

Simba SC yaondoka Zanzibar
Shambulizi la Moscow: Kwa mara ya kwanza Putin amekiri