Mwelekeo wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo katika mwaka ujao wa Fedha utakuwa umejikita katika tija badala ya kuikilia kuongeza kila katika kia sehemu nchini.
Akizungumza katika Mkutano wa Tatu kikao cha 42 kipindi cha maswali na majibu wakati akijibu swali la Mbunge wa ilala Zungu lililohoji ni lini serikali itaongeza tija ya kwaa kupitia sera ya kilimo nchini, Naibu waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kuwa ni kwa muda mrefu serikali imefanya makosa kufikilia kila zoa linaweza likalimwa kila sehemu.
Aidha Naibu Bashe amesema kwa sasa Wizara hiyo inatarajia kufungua timu ambazo zitashughulikia maswalaa ya kupitia upya sera na mtazamo wa kilimo ambayo itakuwa na muongozo wa kila eneo utakayosaidia kuwa na mtalamu wa kila eneo la kilimo.
Hata hivyo Bashe amesema kuwa kwa kufanya hivyo itasaidia kilimo kuwa na teknolojia ya kisasa katika maeneo yote.