Ajali mbaya imetokea ikihusisha magari 3 eneo la Veta Dakawa mkoani Morogoro.

Magari hayo yametajwa kuwa ni Lori la mafuta na Lori la mizigo yakigongana uso kwa uso hali iliyosababisha lori la mafuta kuwaka moto na kuunguza watu waliokuwemo kwenye lori hilo, lakini pia baada ya ajali hiyo kuna basi la kampuni ya OTA CLASSIC  limepata ajali baada ya kugonga lori lililokuwa likiwaka moto eneo hilo.

Bakari Shime: Hakutokua Na Mabadiliko Ya Kikosi
Saudia Kuweka Mfumo Mpya kwa Mahujaji