Baraza la Waganga wa tiba asili Tanzania (BAWATA) limejitokeza na kuzungunzia suala la Waganga waliofutiwa usajili. Hii ni baada ya Mwenyekiti wa Baraza hilo kutangaza kuwafutia usajili Waganga 3 ambao ni Tabibu Mwaka, Mandai na Fadhil huku wengine wakipewa adhabu. Tazama hapa

Komesha Wizi: Sasa unaweza kunasa kilipo kitu chako kwa kutumia simu yako ya mkononi
Serikali Kukarabati kwa Kasi Shule Iliyoungua Moto