Kituo cha haki za binadamu (LHRC) kimetoa taarifa ya hali ya haki za binadamu kwa kipindi cha nusu mwaka, katika taarifa hiyo iliyosomwa na mwanasheria mtafiti wa LHRC, Paul ni  haki za kujumuika ambapo kituo hicho kimesema matamko ya jeshi la polisi hasa katika kuzuia mikutano ya vyama imeonekana  kupendelea chama tawala huku vyama vya upinzani  vikiwa vinakandamizwa.

”Mfano mkutano wa Chadema shinyanga ulipewa vibali vyote lakini baadae ukaja kutawanyishwa kwa kutumia nguvu mpaka mabomu, aidha ACT walikuwa na kongamano la kuchambua bajeti lakini jeshi la polisi walizuia lakini wakati huo huo CCM walikubaliwa kufanya mkusanyiko’

Stamina Aisifu Couple ya jux na Vee Money kwa Kumpa Ushirikiano katika Wimbo Wake.
Makonda aeleza anapopata kiburi cha kujiita ‘Bingwa wa vita zote’