Katika Oparesheni za usalama barabarani Jeshi la Polisi Tanzania limekusanya kiasi cha Milioni 61650 ndani ya siku 10 kuanzia tarehe 4 – 6 – 2016 hadi 14 – 6 – 2016.

_DSC1589

Hayo yamesemwa na Kamishna wa jeshi la Plisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro wakati alipokutana na Waandishi wa habari mapema leo, pia Kamanda Sirro ameyataja baadhi ya matukio ya kiuharifu yaliyofanyika ndani ya siku hizo huku akiwataka watanzania kutii sheria bila shuruti

Majaliwa amezitaka Benki kupitia upya riba zao
TCRA kumaliza kazi yao kesho.