Jokate aivuruga UVCCM, uteuzi wake wapingwa, viongozi wagawanyika, Mgogoro CUF wazidi kuwaka moto, wabunge Dodoma walaani shambulio, ‘Reli ya JPM’ yampandisha mzuka Gwajima, Amri ya Kikwete ilivyokula mabilioni, ni uchunguzi wa kamati nyeti ya bunge…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 24, 2017.

Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama

Tazama hapa yanayojiri Bungeni moja kwa moja kutoka Dodoma muda huu

Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Aprili 24, 2017
Mwijage awataka wananchi kuwekeza katika viwanda