Leo Septemba 28, 2016 Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amezindua rasmi ndege mpya mbili za Air Tanzania ilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Uzinduzi huo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam.

Katika hotuba yake Rais Magufuli amesema kuwa fedha za kununulia ndege nyingine mbili zipo, ndege moja yakubeba watu 160 na nyingine ya kubeba watu 242. Magufuli ameitaka Wizara kuendelea kuziita kampuni zote kwa ajili ya kuzishindanisha ili kupata ushindani hatimaye washushe bei. Bofya hapa kutazama video

Picha: Waziri Mkuu akihutubia Wananchi Kibiti
Uwanja Wa Young Africans Kujengwa Ndani Ya Ekari 715