Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa alipata mshituko mkubwa mara baada ya kupigiwa simu na rais Dkt. Magufuli

Ameyasema hayo Jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na Dar24 Media ambapo amesema kuwa kitendo cha rais kumpigia simu mbele ya wananchi ni ishara kwamba lazima jeshi lake lichukue hatua eneo hilo.

Amesema kuwa serikali hii inafanya kazi usiku na mchana hivyo wakati wowote unapopigiwa simu na rais lazima ushtuke na kuchukua hatua mara moja.

“Sisi ni wanajeshi wa mheshimiwa rais, ndio maana nilipopigiwa simu niliipokea kwa unyenyekevu na kuchukua hatua mara moja,”amesema Prof. Kitila Mkumbo

Magazeti ya Tanzania leo Mei 24, 2018
Tanzania yahitaji wawekezaji kwa wingi ili kupata fursa