Mfalme wa Salasala, Godzilla ameachia video mpya ya wimbo wake ‘Nataka Mkwanja’ ikiwa ni sehemu ya miradi yake iliyopikwa na Marco Chali wa MJ Records.

Mipango Ya Jose Mourinho Yawavuruga Mashabiki Wa Soka
Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kujiuzulu, Waingereza waamua kujiondoa EU