Ommy Dimpoz na Ali Kiba wamekutana kwa mara ya pili kwenye collabo kubwa baada ya kupita miaka kadhaa ya ‘Nai Nai’ iliyofanya vizuri.

Wakali hao wameachia video ya wimbo mpya wa mapenzi walioupa jina la ‘Kajiandae’ uliofanyika nchini Afrika Kusini na kuongozwa na Justin Campos.

Video: Trump aondolewa ghafla jukwaani kwa tishio la kupigwa risasi
Bunge lapitisha Muswada wa sheria ya huduma za habari