Mwanamke ameokolewa kwenye mto akiwa hai baada 
kuangukia kwenye mto uliokuwa ukipitisha maji 
mengi kutokana na mvua kubwa zilizonyesha, China. 
Mwanamke huyo alilazimika kushika kwenye kipande 
cha mbao kwa masaa manne huku mafuriko yakimsomba 
umbali wa takribani kilomita 60.

Nay wa mitego Ahofia ''Basata'' juu ya Ujio wake Mpya
Jurgen Klopp Na Wenzake Wakubali Kubebeshwa Mzigo