Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina amewaonya viongozi wazembe walioko Serikalini na kusema kuwa hatamvumilia kiongozi yeyote atakayezembea kutimiza wajibu wake wa kuwatumikia wananchi.

Luhaga amesema kuna viongozi wengi ambao walizoea kufanya kazi kwa mazoea na kushindwa kutimiza wajibu wao wa kuwatumikia wananchi, na kuongeza kuwa serikali ya awamu ya tano imejipanga kufanya kazi na wala haitakwamishwa na kitu chochote. Bofya hapa kutazama video

Video: Simba na Yanga watunishiana misuri kuelekea Oktoba 1
Waziri Mkuu atimiza ahadi yake, asema anayetaka kumuona amfuate Dodoma