Prof. Mwandosya atema nyongo, ashangaa watu kufanyiwa uadui katika masuala ya kitaifa, Sharti la uchaguzi lazua hofu CCM, ni baada ya kauli ya Polepole kuwa wanaogombea ubunge lazima wawe wakazi wa jimbo husika, Majadiliano ya sasa na Barrick ni ndoto ya Mwalimu Nyerere: Msekwa…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 14, 2017. Tazama video

Hii ndio rekodi ya Lukaku dhidi ya Liverpool
Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 14, 2017