Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaapisha Wakurugenzi wa Miji, Halmashauri na Manispaa,  Akizungumzia katika hotuba ya kuwaapisha Rais alizungumzia taarifa zilizozagaa kuhusu mfanyakazi wa hotel anaedaiwa kuteuliwa kuwa mkurugenzi. Tazama hapa

Besigye akubaliwa Dhamana
Video: Rais Magufuli Azizungumzia Hizi Taarifa Zilizosambaa kuhusu Mkurugenzi Aliyemteuwa