Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesimamisha na kusitisha Kampuni ya Inshinomya Co. LTD na kuyasimamisha Makampuni mengine ya kujenga barabara ya Germinex construction LTDDel Monte (T) Ltd na Skol Building Contraction kutokana na kujenga barabara chini ya kiwango na kuagiza makampuni hayo kutopewa tenda yeyote kwenye Mkoa wa Dar es salaam mpaka Mkuu wa Mkoa atakapojiridhisha na utendaji wa kazi kwa Makampuni hayo.

Gavan Jeanne: Tumekuja Kujifunza Kwa Wenzetu Tanzania
Rais wa Equatorial Guinea amteua mwanae kuwa Makamu wa Rais