Rekodi ya Lissu yatikisa kimataifa, alianza kushtakiwa kwa uchochezi 2002, Mbunge CCM aeleza alichoteta naye, Jaji Mkuu abana majaji, Mhasibu TRA kortini kwa hasara ya bilioni 29, Familia yazungumzia suala la dereva wa Lissu, yapanga kukutana Dar, kujadili kilichomsibu, Nyalandu, Zitto wamtembelea Nairobi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 18, 2017. Tazama video.

Tisa wakamatwa kwa kuwabaka waumini kwenye ibada za mkesha
Familia ya Lissu yatoa ya moyoni kuhusu dereva wake