Rapa kutoka Ghana, Michael Owusu Addo maarufu kama Sarkodie ameachia video ya wimbo wake unaitwa ‘Far Away’ akiwa amemshirikisha nyota wa Nigeria kutoka katika lebo ya muziki ya ‘Marvin Records’ Korede Bello.

Video ya wimbo huo wa rapa huyo ambaye ni mshindi wa tuzo ya BET Best International Act mwaka 2012 imetengenezwa na muongozaji wa video Sesan na wimbo wa Far Away umetengenezwa na mtayarishaji wa muziki T’Spize.

Wimbo wa Far Away unapatikana katika albamu mpya ya Sarkodie inayoitwa Highest. Itazame video hiyo hapa chini;

Omarion afichua siri ya kufanya kazi nyingi na Diamond
AY azungumzia bifu ya FA na Lady Jay Dee