Hizi hapa Headline katika Magazeti ya leo Juni 20 2016 kati ya Headlines hizo ni pamoja na hii ya –

Utapeli wa Mwakyembe wamwagwa hadharani, 

  • Ni katika sakata la utapeli wa bil 2
  • Kampuni ya Power Pool yajitokeza
  • Yakiri Kumtambua raia wa Korea

Ajira Zaidi ya 500 Kuwanufaisha Wahitimu Elimu ya Juu
Nape asema Lowassa ni alama ya ufisadi, ampa ushauri mgumu