Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mchango mkubwa alioutoa kufanikisha matibabu yake, kwa kumchangia pesa taslim milioni 15 zimsaidie kufanya matibabu.

 

Jeshi la Polisi lamjibu Dkt. Kigwangalla
JPM amchangia mamilioni Wastara