Jeshi la Polisi Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne wa dawa za kulevya katika Hospitali ya Mwananyamala.

Akitoa taarifa hiyo leo Mei 26, 2017 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaa, Simoni Sirro amesema kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa baada ya kuwepo kwa taarifa ya kupokelewa kwa mwili wa raia wa nchi ya Ghana katika Hospitali hiyo aliyedaiwa kufariki dunia kutokana na kumeza dawa za kulevya katika nyumba ya kulala wageni iitwayo, Red Carpet iliyoko Sinza.

Video: Polisi Dar es salaam wakusanya mil.304 ndani ya siku 3
Muanzilishi Wa Facebook Aula Kielimu Chuo Kikuu Cha Harvard