Leo Juni 09 2016, Chama cha watu wenye ulemavu – TAS wameongea na waandishi wa habari na kati ya mambo ambayo wameyaeleza ni majina ambayo hayapaswi kutumika kuwaita.

Kila tarehe 13 juni TAS wanaadhimisha kimataifa siku ya kuongeza uelewa kuhusu ualbino ambapo mwaka huu ni siku ya 11 tangu kuanzishwa kwake nchini mwaka 2006 na siku ya pili kimataifa tangu Baraza la umoja wa Kimataifa ilipoitangaza rasmi juni 13 ya kila mwaka.

Mtazame hapa Mwenyekiti wa TAS, Nemes Temba

Lemonade yampaisha Beyonce, Avunja Rekodi Ya Wanamuziki Wote Wa Kike
Video: COTWU wampongeza Rais Magufuli, Wazungumzia hali ya Chama