Ziara ya JPM yaondoka na bosi Magereza, Sakata la Dangote lafichua siri nzito… ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 3, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

NEC yapata ugeni kutoka tume za uchaguzi Duniani (AWEB)
Jaffo awataka watumishi ilala kufanya kazi kwa bidii