Baada ya kundi la Sauti Sol kutua Tanzania mkoani Arusha kwaajili ya kufanya show. Millardayo.com na AyoTv imeweza kuwapata katika interview na katika maswali waliyoulizwa moja wapo ilikuwa inayosemekana ni bifu kati ya Diamond Platnumz na Alikiba.

Member wa Crew hiyo Bien Sol amejibu hivi.

’Iyo ni biashara na hata sisi Sauti Sol wengine ni mashabiki wa Diamond na wengine wa Alikiba tumefanya nyimbo na Kiba labda wengi hawakufurahi so tutafanya ngoma na Diamond pia iyo bifu iendelee cause inacreate job, news, so me naona vyema iyo bifu iendelee kwa mtandao tu ni sawa kwasababu kwenye muziki pia kunahitajika ushindani’ – Bien Sol.

Video: Bodaboda sasa ni janga - Jeshi la Polisi
Makonda: nitamshawishi rais apunguze watumishi wa umma