Wafungwa wawili wenye mizuka ya rap wamejikuta wakiongezewa kifungo cha miezi tisa jela kila mmoja baada ya kurekodi video ya dakika tatu wakiwa wanarap ndani ya gereza nchini Uingereza.

Wafungwa hao ambao ni wakazi wa Birmingham walitajwa kwa majina ya Moysha Shepherd and Demehl Thomas. Waliongezewa kifungo hicho baada ya kukutwa na hatia ya kuvunja sheria kwa kutumia simu za mikononi kinyume cha sheri. Pia, kurekodi sauti na video ndani ya gereza.

Kwa mujibu wa Telegram, Thomas alikuwa anatumikia kifungo cha miaka saba jela wakati Moysha alikuwa anatumikia kifungo cha miaka mitano jela.
 

Van Gaal awavuruga waandishi na Kuondoka katikati ya Mahojiano
Baada ya Ushindi Wake Kubatilishwa Ndani ya Dakika Chache, Miss Colombia Atoa Fundo Moyoni