Uingereza na Marekani watoto wengi wameathirika na ugonjwa usio wa kawaida unaosababisha uvimbe ambapo ugonjwa huo unahusishwa na Virusi vya Corona.

Tafiti zinaonesha Uingereza pekee watoto 100 wameathirika huku dalili kama hizo zikionekana kwa watoto wa sehemu nyingine barani Ulaya.

Hata hivyo Mkurugenzi wa Programu za Dharura za Afya wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Mike Ryan amesema kadri visa vya Covid 19 vinavyoongezeka ndivyo dalili zaidi zinavyozidi kutokea.

Zanzibar kupima corona watu 288 kwa siku, mashine kutoka korea Kusini

Siku ya familia: Tusiwanyanyapae waliopata Corona

Kilimo chaongoza mchango pato la Taifa 2019
Zanzibar kupima corona watu 288 kwa siku, mashine kutoka Korea Kusini