Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Januari 17, 2022

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Ujenzi Ikulu Chamwino wafikia 91%
Treni yapinduka Tanga na kuua mtoto mmoja