Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bi. Khadija Issa Said kuwa Naibu Kamishna wa Mamlaka ya kusimamia shughuli za Bima Tanzania (TIRA).

Aidha, kabla ya uteuzi huo, Bi Khadija Issa Said alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Bima, Shirika la Bima Zanzibar.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu Jijini Dar es saalam imesema kuwa uteuzi huo umeanza leo mara moja tarehe 26/5/2016.

Atakaye poteza pasipoti kulipia mara tatu zaidi ya gharama
UEFA Champions League: Ni Ronaldo au Salah?