Maafisa wawili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wamekamatwa na Polisi wa eneo bunge la Mbooni, kwa kukosa fomu zenye matokeo ya mwisho ya nafasi ya urais na uwakilishi wa Wanawake.

Maafisa hao, toka kata ya Kalawa katika kituo cha Kathulumbi na kituo cha Ngakaa katika Kata ya Kako, walichukuliwa na vyombo vya usalama ili kuhojiwa kwa kukosekana kwa fomu hizo za 34A na 39A.

Maadhimisho ya miaka 50 ya STAMICO
Okrah awatuliza Simba SC, tunaanza upya